[caption id="attachment_16816" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Kitengo cha Uendeshaji Ndege Bw. Tuju Sharali akitoa maelezo kwa waandishi wa habari katika chumba maalumu kinachotumika kurusha na kutua ndege mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_16819" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wafanyakazi wa kituo cha juu cha kuongozea ndege wakiwa katika kazi ya mawasiliano kutoka vituo vingine vya kimataifa ili kuwezesha kuruka na kutua kwa ndege za abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),leo jijini Dar es Salaam wakati wa kutembelea kituo hicho ili kujionea vifaa hivyo ambavyo vitabadilishwa na kuingia katika mfumo mpya wa uongozaji ndege .[/caption] [caption id="attachment_16822" align="aligncenter" width="750"] Chumba na vifaa vya kuongozea ndege kuanzia umbali wa futi 24000 kwenda juu kinachotumika katika kuongozea ndege zikiwa juu zaidi, kurusha pamoja na kuziendesha wakati wa kutua katika idara ya uendeshaji na huduma za ndege(TCAA) Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_16825" align="aligncenter" width="750"] Rada inayotumika kwa sasa katika kuongoza ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kama inavyoonekana katika picha.[/caption] [caption id="attachment_16828" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Kitengo cha Mawasilisno ya Uendeshaji Ndege wa (TCAA) Bw.Deodore Mushi akitoa maelezo kwa waandishi wa habari kuhusu ufanyaji kazi wa mitambo ya kuongozea ndege katika kituo cha kuongoza ndege cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),leo jijini Dar es Salaam. (Picha na: Paschal Dotto)[/caption]