Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Elineema Mkumbo, akifungua rasmi mafunzo ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Baraza la Wafanyazi, Oktoba 11, 2022 jijini Arusha. Mafunzo hayo yanatolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu.
Veronica Simba - REA
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Wakala wa Nishati Vijijini (REA), wameaswa kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa ufanisi ili kuleta matokeo chanya kwa Wakala.
Wito huo umetolewa leo, Oktoba 11, 2022 jijini Arusha na Mwakilis...
Read More