Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza leo Oktoba 13, 2023 jijini Dodoma wakati akizindua Mpango wa Taifa wa Dharura wa Kuzuia na Kukabiliana na Madhara ya El Nino na kuugawa kwa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu pamoja na viongozi wa baadhi ya Taasisi za Serikali kwa ajili ya kuanza utekelezaji wake.
Read More