Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza jijini Dodoma wakati Wizara ya Nishati ilipowasilisha taarifa kuhusu mwenendo wa biashara ya mafuta nchini kwa kipindi cha mwezi Septemba hadi Disemba 2023, kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini. Kikao kimefanyika tarehe 19 Januari 2023 na kuhudhuriwa na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga, Katibu
Mkuu, Mhandisi, Felchesmi Mramba, baadhi ya Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara na Watendaji wa Wizara ya Nishati.
Read More