Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussei Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Balozi Mdogo wa China hapa Zanzibar, Mhe. Zhang Zhisheng (wa pili kushoto) alipofika kuaga Ikulu jijini Zanzibar leo mara baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar Balozi Mdogo wa China hapa Zanzibar, Mhe. Zhang Zhisheng, baada ya mazungumzo yao leo alipofika kuaga Ikulu Jijini Zanzibar akimaliza muda wake wa kazi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika picha na Balozi mdogo wa China hapa Zanzibar, Mhe. Zhang Zhisheng baada ya mazungumzo yao leo alipofika kuaga Ikulu Jijini Zanzibar.
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa