[caption id="attachment_39766" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama akiongea, wakati wa kikao cha Baraza la wafanyakazi wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (hawapo pichani) kilichowakutanisha Wasuluhishi na waamuzi wa migogoro ya kikazi nchi nzima, mjini Morogoro, tarehe 14 Januari, 2019.[/caption]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama ameiagiza Tume ya Usuluh...
Read More