[caption id="attachment_39779" align="aligncenter" width="800"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamis Kigwangala, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt.John Kijazi,Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega,Katibu Mkuu TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamuhanga pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Doroth Mwanyika kuhusu kusitisha zoezi la kuwaondoa Wananchi wanaoishi katika Vijiji na Vitongoji vilivyopo katika maeneo ya Hifadhi. Ikulu Jijini Dar es salaam leo Januari 15,2019[/caption]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamis Kigwangala, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt.John Kijazi,Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega,Katibu Mkuu TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamuhanga pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Doroth Mwanyika kuhusu kusitisha zoezi la kuwaondoa Wananchi wanaoishi katika Vijiji na Vitongoji vilivyopo katika maeneo ya Hifadhi. Ikulu Jijini Dar es salaam leo Januari 15,2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi jambo na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamis Kigwangala, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt.John Kijazi,Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega,Katibu Mkuu TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamuhanga pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Doroth Mwanyika mara baada ya kumaliza mazungumzo na viongozi hao kuhusu kusitisha zoezi la kuwaondoa Wananchi wanaoishi katika Vijiji na Vitongoji vilivyopo katika maeneo ya Hifadhi. Ikulu Jijini Dar es salaam leo Januari 15,2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamis Kigwangala, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt.John Kijazi, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega, Katibu Mkuu TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamuhanga pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Doroth Mwanyika mara baada ya kumaliza mazungumzo na viongozi hao kuhusu kusitisha zoezi la kuwaondoa Wananchi wanaoishi katika Vijiji na Vitongoji vilivyopo katika Maeneo ya Hifadhi za Taifa. Ikulu Jijini Dar es salaam leo Januari 15,2019