Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza na Watendaji Wakuu wa Makampuni ya simu nchiniwengine kutoka kulia ni katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma, wengine kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula, Naibu wake dkt Jim Yonazi na Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Clarence Ichwekeleza.
Na Faraja Mpina- WMTH
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile amesema kuwa Serikali kupitia Wizara yake inashirikiana na wadau wa sekta ya mawa...
Read More