Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mhandisi Kutoka Wakala wa Majengo kuhusu ujenzi wa mradi wa Kituo cha Afya Kendwa, alipoweka jiwe la msingi la kituo hicho Wilaya ya Mkoani, Pemba Januari 09, 2022
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa Kituo cha Afya Kendwa, Wodi ya Wazazi na nyumba ya daktari, Wilaya ya Mkoani, Pemba Januari 09, 2022. Wa kwanza kushoto ni Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii. Wazee, jinsia na Watoto-Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui
Baadhi ya Wakazi wa Wilaya ya Mkoani, Pemba...
Read More