Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa Kituo cha Afya Kendwa, Wodi ya Wazazi na nyumba ya daktari, Wilaya ya Mkoani, Pemba Januari 09, 2022. Wa kwanza kushoto ni Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii. Wazee, jinsia na Watoto-Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui
Baadhi ya Wakazi wa Wilaya ya Mkoani, Pemba wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa Kituo cha Afya Kendwa, Wodi ya Wazazi na nyumba ya daktari, Januari 09, 2022
Muonekano wa Kituo cha Afya Kendwa kilichopo Wilaya ya Mkoani, Pemba ambacho Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameweka jiwe la msingi, Januari 09, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa Kituo cha Afya Kendwa Wilaya ya Mkoani, Pemba Januari 09, 2022