Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Katanga, akitangaza mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu yaliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Januari 8, 2022. Balozi Katanga amesema kuwa hafla ya Uapisho wa Mawaziri na Viongozi wengine Wakuu wa Wizara itafanyika Januari 10, 2022 saa tatu asubuhi Ikulu-Chamwino, Dodoma.
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa