Na Mwandishi Wetu.
Watanzania wametakiwa kuenzi sanaa na utamaduni walionao kwa ajili ya kizazi kijacho ili kukijengea uzalendo wa kupenda nchi yao.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Tamasha la Sauti za Busara, Yusuf Mahmoud wakati akielezea ujio wa Tamasha la 15 linalotarajiwa kufanyika Ngome Kongwe, Unguja - Zanzibar na kushirikisha wanamuziki na vikundi mbali mbali vya sanaa kutoka pande zote za bara la Afrika na Ulaya.
“Katika Tamasha hili, ni sehemu ambapo watu wenye weledi wa sanaa mbalimbali hukutana, kuanzia kwa wakurugenzi wa matamas...
Read More