Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Maandalizi ya Ujio Wa FIFA Yapamba Moto
Jan 21, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_27582" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) (hawapo pichani) unaotarajia kufanyika nchini mwezi Februari 2018 kuhakikisha maandalizi yanakuwa mazuri ili ujio huo uwezekuletea manufaa kwa taifa katika kikao kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_27583" align="aligncenter" width="1000"] Wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) wakisililiza maagizo ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe aliyokuwa akitoa katika kikao hicho kwa lengo la kufanikisha ujio huo wa Kimataifa kuwa unaleta manufaa kwa taifa jana jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_27584" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe katika kikao cha maandalizi ya ujio huo kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam,wapili kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Yusuph Singo.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi