Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Abdallah Ulega akifurahia jambo na wanafunzi wa shule ya msingi manyinga baada ya kuwapa mipira kwa ajlli ya maendeleo ya michezo katika shule hiyo.
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Abdallah Ulega ameagiza viongozi walioko Serikali za mitaa kutobadili matumizi ya viwanja vya michezo.
Waziri Ulega amesema hayo wakati alipofanya ziara ya kikazi kukagua maendeleo ya michezo katika mkoa wa Morogoro.
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Abdallah...
Read More