Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akiteta jambo na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, katika mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na wananchi uliofanyika katika Uwanja wa Mitwero mkoani Lindi tarehe 19 Septemba, 2023.
Read More