Tuvuti Kuu
Mrejesho
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO
Tanzania Yashiriki Mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu wa IMF
Oct 12, 2023
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango-Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, ambaye anaongoza Ujumbe wa Tanzania katika Mikutano ya Mwaka ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) inayofanyika Marrakech nchini Morocco, kwa niaba ya Waziri wa Fedha wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu, ameshiriki mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu kutoka Kundi la Kwanza la Nchi za Afrika ambazo ni wanachama wa Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), uliohudhuriwa pia na Mkurugenzi Mtendaji wa IMF, Bi. Kristalina Georgieva, ambapo wamejadiliana fursa na changamoto zinazozikabili nchi zao na kupendekeza IMF iongeze ufadhili wa misaada na mikopo kwa nchi hizo ili ziweze kukabiliana na athari za majanga ya dunia na kutekeleza mipango yao ya kuharakisha maendeleo ya nchi zao na kupiga vita umasikini.
Na Joseph Mahumi
Habari Mpya
REA Kusambaza Mitungi ya Gesi Zaidi ya 19,000 Mbeya
Nov 20, 2024
Waziri Kombo Aongoza Mkutano wa SADC Organ Troika
Nov 20, 2024
Dkt. Mwinyi Awaapisha Viongozi Aliowateua Hivi Karibuni
Nov 15, 2024
Tanzania Kuungana na Dunia Usalama wa Afya Kimataifa
Nov 13, 2024
Makamu wa Rais Ashiriki Mkutano wa Rasilimali Muhimu za Kijani za Bara la Afrika
Nov 13, 2024
Waziri Mkuu Akutana na Balozi wa Uturuki Nchini
Nov 13, 2024
Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Marekebisho ya Maandishi
Ndogo
Kawaida
Kubwa