[caption id="attachment_47117" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe, wakati akiwasili kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wa masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali ya Hewa.[/caption]
[caption id="attachment_47111" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mfumo wa unaorahisisha mawasiliano kwa vyombo vya usafiri(Traffic Information System - TIMS),...
Read More