Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Mbalimbali Kwenye Ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini Katika Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji wa Madini Geita
Sep 23, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_47246" align="aligncenter" width="720"] Mtaalam kutoka Tume ya Madini, Monica Mkumbo (kulia) akielezea majukumu ya Tume ya Madini kwa mchimbaji wa madini ya dhahabu katika eneo la Kakola mkoani Geita, Yohana James (kushoto) kwenye Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji wa Madini yanayoendelea mjini Geita tarehe 23 Septemba, 2019.[/caption] [caption id="attachment_47247" align="aligncenter" width="720"] Fundi Sanifu Migodi Mwandamizi, Msafiri Kussa na Mjiolojia Asimwe Kafrika kutoka Tume ya Madini wakitoa elimu kwa umma kwa wanafunzi wa shule za msingi za Kalangala na Nyasa waliotembelea banda la Tume ya Madini kwenye Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji wa Madini yanayoendelea mjini Geita tarehe 23 Septemba, 2019[/caption] [caption id="attachment_47248" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo (kulia) akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika banda la Tume ya Madini, kwenye Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji wa Madini yanayoendelea mjini Geita tarehe 23 Septemba, 2019[/caption] [caption id="attachment_47249" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Dustan Kitandula na Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo wakisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika banda la Wizara ya Madini kwenye Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji wa Madini yanayoendelea mjini Geita tarehe 23 Septemba, 2019.[/caption] [caption id="attachment_47250" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) kwenye Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji wa Madini yanayoendelea mjini Geita tarehe 23 Septemba, 2019.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi