[caption id="attachment_47220" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipiga ngoma kama isha ya Uzinduzi Rasmi wa Tamasha la Jumuiya ya Afrika Mashariki (Jamafest) pamoja na Tamasha la Urithi Wetu.[/caption] [caption id="attachment_47223" align="aligncenter" width="750"] Kikundi cha Ngoma kutoka Burundi kikitumbuiza katika Tamasha la Jamafest lililozinduliwa leo na Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam[/caption] [caption id="attachment_47225" align="aligncenter" width="750"] Kikundi cha Ngoma kutoka Rwanda kikitumbuiza[/caption] [caption id="attachment_47227" align="aligncenter" width="750"] Kikundi cha Ngoma kutoka Uganda kikitumbuiza Uwanja wa Uhuru Dar es salaam kwenye Tamasha la Jamafest[/caption] [caption id="attachment_47230" align="aligncenter" width="750"] Kikundi cha Kenya kikitoa burudani kwa watazamaji waliofurika kwenye uwanja wa Taifa kushuhudia uzinduzi wa Tamasha la Jamafest.[/caption]