Tangu kuanzishwa kwake, Serikali yavuna bilioni 8.08
Na Greyson Mwase, Mbeya
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema uwepo wa Soko la Madini Chunya lililozinduliwa tarehe 02 Mei, 2019 umepelekea ongezeko la mzunguko wa fedha kwa kuwa wananchi wengi wameanza kushiriki kwenye shughuli za uchimbaji na uchenjuaji wa madini.
Chalamila aliyasema hayo hivi karibuni kupitia mahojiano kwenye maandalizi ya kipindi maalum chenye kuelezea Mafanikio ya Sekta ya Madini, kinachoandaliwa na Tume ya Madini na Wizara ya Madini kwa kushirikiana...
Read More