Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Madhimisho Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Kufanyika Desemba 11 Jijini Dodoma
Dec 06, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_49604" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimeniti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Huruma Mkuchika akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya Siku ya Maadili na Hakli za Binadamu leo tarehe 6 Desemba 2019 jijini Dodoma. Maadhimisho hayo yameanza tareh 6 hadi 11 Desemba 2019 ambapo kauli mbiu yake ni “Maadili katika utumishi wa umma ni nguzo muhimu katika kuimarisha utawala bora na haki za binadamu”. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Amon Mpanju.[/caption] [caption id="attachment_49605" align="aligncenter" width="750"] Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Amon Mpanju akijibu swali toka kwa waandishi wa habari wakati wa Mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimeniti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Huruma Mkuchika(katikati) na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu leo tarehe 6 Desemba 2019 jijini Dodoma. Maadhimisho hayo yameanza tareh 6 hadi 11 Desemba 2019 ambapo kauli mbiu yake ni “Maadili katika Utumishi wa Umma ni nguzo muhimu katika kuimarisha utawala bora na haki za binadamu”.Kulia ni Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela.[/caption] [caption id="attachment_49606" align="aligncenter" width="750"] Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela akifafanua jambo wakati wa Mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimeniti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Huruma Mkuchika(kulia) na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu leo tarehe 6 Desemba 2019 jijini Dodoma. Maadhimisho hayo yameanza tareh 6 hadi 11 Desemba 2019 ambapo kauli mbiu yake ni “Maadili katika Utumishi wa Umma ni nguzo muhimu katika kuimarisha utawala bora na haki za binadamu”.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Amon Mpanju.[/caption] [caption id="attachment_49607" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mathew Mwaimu akielezea jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa Mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimeniti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Huruma Mkuchika(kulia) na waandishi hao kuhusu maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu leo tarehe 6 Desemba 2019 jijini Dodoma. Maadhimisho hayo yameanza tareh 6 hadi 11 Desemba 2019 ambapo kauli mbiu yake ni “Maadili katika Utumishi wa Umma ni nguzo muhimu katika kuimarisha utawala bora na haki za binadamu”. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Amon Mpanju.[/caption] [caption id="attachment_49608" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa akielezea jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa Mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimeniti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Huruma Mkuchika(kulia) na waandishi hao kuhusu maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu leo tarehe 6 Desemba 2019 jijini Dodoma. Maadhimisho hayo yameanza tarehe 6 hadi 11 Desemba 2019 ambapo kauli mbiu yake ni “Maadili katika Utumishi wa Umma ni nguzo muhimu katika kuimarisha utawala bora na haki za binadamu”. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Amon Mpanju.[/caption] [caption id="attachment_49609" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya viongozi toka Ofisi ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wakifuatilia wa Mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimeniti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Huruma Mkuchika(kulia) na waandishi hao kuhusu maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu leo tarehe 6 Desemba 2019 jijini Dodoma. Maadhimisho hayo yameanza tareh 6 hadi 11 Desemba 2019 ambapo kauli mbiu yake ni “Maadili katika Utumishi wa Umma ni nguzo muhimu katika kuimarisha utawala bora na haki za binadamu”.[/caption] [caption id="attachment_49610" align="aligncenter" width="750"] : Baadhi ya watendaji kutoka taasisi zinazoshiriki maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu wakifuatilia wa Mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimeniti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Huruma Mkuchika(kulia) na waandishi hao kuhusu maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu leo tarehe 6 Desemba 2019 jijini Dodoma. Taasisi hizo ni Ofisi ya Rais –Utummishi, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, PPRA, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Wizara ya Katiba na Sheria na Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.[/caption] [caption id="attachment_49611" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya watendaji kutoka taasisi zinazoshiriki maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu wakifuatilia wa Mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimeniti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Huruma Mkuchika(kulia) na waandishi hao kuhusu maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu leo tarehe 6 Desemba 2019 jijini Dodoma. Taasisi hizo ni Ofisi ya Rais –Utummishi, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, PPRA, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Wizara ya Katiba na Sheria na Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.[/caption] [caption id="attachment_49612" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano baina yao na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimeniti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Huruma Mkuchika(kulia) na waandishi hao kuhusu maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu leo tarehe 6 Desemba 2019 jijini Dodoma. Maadhimisho hayo yameanza tareh 6 hadi 11 Desemba 2019 ambapo kauli mbiu yake ni “Maadili katika Utumishi wa Umma ni nguzo muhimu katika kuimarisha utawala bora na haki za binadamu”.[/caption] [caption id="attachment_49613" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimeniti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Huruma Mkuchika akisalimiana Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere mara baada ya kumaliza kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu leo tarehe 6 Desemba 2019 jijini Dodoma. Maadhimisho hayo yameanza tareh 6 hadi 11 Desemba 2019 ambapo kauli mbiu yake ni “Maadili katika Utumishi wa Umma ni nguzo muhimu katika kuimarisha utawala bora na haki za binadamu”.Wapili kulia ni Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu. (Picha na Idara ya Habari – MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi