[caption id="attachment_49916" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa mkoa wa Lindi Mhe. Godfrey Zambi akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya kuhamasisha wananchi kujiunga na vifurushi vya bima ya afya kupitia mfuko wa Taifa wa Bima ya AFya (NHIF) mkoani humo Desemba 20, 2019.[/caption]
Na Mwandishi wetu- Lindi
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi amesema mpango wa vifurushi vya bima ya afya una lengo la kuhakikisha kuwa tunakuwa na Taifa lenye afya na lenye nia ya kuzalisha mali kuelekea uchumi wa kati kwa kuwa tutakuwa na ...
Read More