[caption id="attachment_52901" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe akifafanua wakati wa mkutano wa siku moja uliowakutanisha Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi), Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Wizara ya Viwanda na Biashara kuweka mikakati endelevu ya usafirishaji wa minofu ya samaki wanaosafirisha nje ya nchi, jijini Mwanza.[/caption]
Na WUUM
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe amewataka wafanyabiashara wa ukanda wa Ziwa Victor...
Read More