Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi, Dkt. Leonard Chamuriho akitoa maelekezo kwa Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mara, Mhandisi, Ngaile Mlima (kushoto), alipokuwa akikagua barabara ya Kuseni hadi Suguti yenye urefu wa kilomita 5 kwa kiwango cha lami, mkoani Mara.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho, amemtaka Mkandarasi wa Kampuni ya Gemen anayejenga barabara ya Kuseni hadi Suguti yenye urefu wa kilomita tano kwa kiwango cha lami, kuhakikisha anakamilisha barabara hiyo haraka kama ilivyo...
Read More