Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul akizungumza wakati akifungua Mashindano ya michezo mbalimbali ya Vyuo Vikuu nchini kwa mwaka 2021 chini ya Chama cha Michezo ya Vyuo Vikuu Tanzania (TUSA) ambayo yanafanyika kwa siku saba kuanzia Desemba 14, 2021 katika Chuo Kikuu cha Dodoma.
Na Eleuteri Mangi, WUSM, Dodoma
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul ametoa rai kwa vyuo vikuu vyote ambavyo ni wanachama wa Chama cha Michezo ya Vyuo Vikuu Tanzania (TUSA) kuleta wanafunzi wao kushiriki kati...
Read More