Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Utamaduni. Sanaa na Michezo, Mohammed Nchengerwa (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makala wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam katika hafla ya kutoa tuzo kwa washindi wa uandishi katika Shindano la Tuzo ya Kiswahili ya Fasihi ya Mabati – Cornell ya Fasihi ya Afrika, Januari 27, 2021
Na. John Mapepele, WUSM
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,. Mhe, Kassim Majaliwa Majaliwa leo Januari 27, 2022 ametoa Tuzo ya Kiswahili ya...
Read More