Na Zuena Msuya, Lindi
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Kheri Mahimbali ametembelea na kukagua miundombinu ya Mradi wa kuzalisha na kuchakata Gesi asilia wa Songosongo uliopo mkoani Lindi.
Mahimbali amesema kuwa lengo la ziara hiyo iliyofanyika Machi 31, 2022 ni kutaka kuona shughuli za uzalishaji, uchakataji na usafirishaji wa Gesi asilia kutoka katika visima vya Gesi vilivyopo katika eneo la bahari na nchi kavu katika eneo hilo.
Katika ziara hiyo, ametembelea mitambo ya kuchakata gesi asilia ya Songosongo, eneo lililofungwa m...
Read More