Rais Mhe. Samia Akutana na Kuzungumza na Waziri wa Nchi kutoka UAE Mhe. Maitha Al Shamsi, Ikulu Jijini Dodoma
Apr 01, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Mhe. Maitha Al Shamsi Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 31 Machi, 2022. Huu ni mwendelezo wa ziara ya Mhe. Rais Samia aliyoifanya katika Falme za Kiarabu hivi karibuni.