Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (kulia) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kidigitali ya NALA, baada ya kuzindua NALA APP inayotumika kutuma fedha kidigitali kutoka nchini Marekani na nchi nyingine duniani, kwa niaba ya Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, Jijini NewYork nchini Marekani.
Na Benny Mwaipaja, NewYork
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewataka watanzania hususan Vijana, kuchangamkia fursa za maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ili w...
Read More