Majaliwa Atembelea Soko la Wamachinga Mbauda na Kilombero Arusha
May 24, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea soko la Wamachinga la Mbauda jijini Arusha, Mei 24, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella na wa tatu kushoto Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wamachinga baada ya kutembelea soko la Mbauda jijini Arusha, Mei 24, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea Soko la Kilombero kabla ya kuzungumza na wafanyabiashara wa soko hilo jijini Arusha Mei 24, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyabiashara katika soko la Kilombero jijini Arusha wakati alipotembelea soko hilo Mei 24, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi katika viwanja vya soko la Kilombero baada ya kutembelea soko hilo jijini Arusha, Mei 24, 2022.