Rais Dkt. Mwinyi Akutana na Kuzungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Munadhamat Al Dawa Al Islamia
May 24, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Munadhamat Al Dawa Al Islamia ukiongozwa na Mwenyekiti wake Sheikh Abdulrahaman Abdulla (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 24-5-2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mwenyekiti wa Taasisi ya Munadhamat Al Dawa Al Islamia, Sheikh.Abdulrahaman Abdulla, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-5-2022.