Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew akizungumza wakati wa ziara yake ya uhamasishaji na ukaguzi operesheni Anwani za Makazimkoani Songwe leo tarehe 28 Aprili, 2022. Wa kwanza kushoto aliyeketi ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Omary Mgumba.
Immaculate Makilika – MAELEZO, Songwe
Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Mhandisi, Kundo Mathew amewaomba Wakuu wa Mikoa yote nchini kuendelea kutekeleza zoezi la Anwani za Makazi katika mikoa yao ili kukamilisha zoezi...
Read More