Rais Samia Azungumza katika Mdahalo na Baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi Nyingine Kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa AfDB
May 24, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa amesimama na Rais wa Ghana, Mhe. Nana Akufo-Addo, Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Nyusi, pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinumwi Adesina wakati nyimbo za Taifa zikipigwa kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 57 wa AfDB unaofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Accra nchini Ghana tarehe 24 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,(wa pili kutoka kulia) akiwa katika Mkutano wa 57 wa AfDB unaofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Accra nchini Ghana tarehe 24 Mei, 2022.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa 57 wa AfDB unaofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Accra nchini Ghana tarehe 24 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa amesimama na Rais wa Ghana, Mhe. Nana Akufo-Addo, Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Nyusi, Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinumwi Adesina pamoja na viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa 57 wa AfDB unaofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Accra nchini Ghana tarehe 24 Mei, 2022.