Majaliwa Aweka Jiwe la Msingi la Ujenziwa Jengo la Ufundi Tower katika Chuo cha Ufundi Arusha
May 24, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Saidi Issa ambaye ni Meneja wa Ktengo cha Uzalishaji, Chuo cha Ufundi Arusha kuhusu ujenzi wa Jengo la Ufundi Tower wakati Waziri Mkuu alipoweka jiwe la msingi la jengo hilo jijini Arusha, Mei 24, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoweka jiwe la msingi la jengo la Ufundi Tower katika Chuo cha Ufundi Arusha, Mei 24, 2022.