Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (katikati) akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. Emmanuel Tutuba, Kanuni za Maadili ya Watumishi wa Umma na Wazabuni wanaoshiriki katika shughuli za Ununuzi wa Umma, wakati wa uzinduzi wa kanuni hizo, jijini Dodoma, kulia ni Kamishna wa Idara ya Sera ya Ununuzi wa Umma wa Wizara hiyo, Dkt. Frederick Mwakibinga.
Na. Farida Ramadhani, WFM, Dodoma
Serikali imezindua Kanuni za Maadili ya Watumishi wa Umma na Wazabuni Wanaoshiriki katika shughu...
Read More