Rais Dkt. Mwinyi Azungumza na Wahariri, Waandishi wa Vyombo vya Habari Ikulu Zanzibar
May 31, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Ahmed Said akimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi kuzungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari, uliyofanyika leo,31-5-2022 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari wa Magazeti, Redio na Tv, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi. (hayupo pichani) wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi kuzungumza na Wahariri na Waandishi wa habari,uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 31-5-2022.