Waziri Mkuu Majaliwa Azungumza na Viongozi wa TAMISEMI
May 31, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Ofisi ya Rais - TAMISEMI kwenye jengo la Mkapa jijini Dodoma, Mei 31, 2022. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -,TAMISEMI, Innocent Bashungwa.