Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mvumi, Livingstone Lusinde pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mvumi, wilayani Chamwino, Dodoma kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 10, 2022. Wanafunzi hao walikwenda Bungeni kwa ziara ya mafunzo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mvumi wilayani Chamwino, Dodoma, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 10, 2022. Wanafunzi hao walikwenda Bungeni kwa ziara ya mafunzo. Kushoto kwake ni Mbunge wa Mvumi, Livingston...
Read More