Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, Bungeni jijini Dodoma, Juni 29, 2022
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kilosa, Profesa Palamagamba Kabudi (kulia) na Mbunge wa Bukoba Vijijini, Dkt. Jasson Rweikiza kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 29, 2022.