Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Azungumza na Waandishi wa Habari Ikulu
Jun 28, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri wa Nishati, Mhe. Januari Makamba akizungumza na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya Habari kuhusiana na Mafanikio ya Ziara Rasmi ya Kiserikali iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini Oman hivi karibuni.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki akizungumza na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya Habari kuhusiana na Mafanikio ya Ziara Rasmi ya Kiserikali iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini Oman hivi karibuni.
Katibu Mkuu wa wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara akizungumza na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya Habari kuhusiana na Mafanikio ya Ziara Rasmi ya Kiserikali iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini Oman hivi karibuni.