Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline Mabula akizungumza na Meneja Mkazi wa Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Tembo Nickel, Benedict Busunzu jijini Dodoma Juni 15, 2022. Kulia ni Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Tembo Nickel Corporation Ltd, Sauda Simba.
Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Angeline Mabula amekutana na kufanya mazungumzo na Meneja Mkazi wa Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Nickel, Tembo Nickel Corporation Ltd, Benedict Busunzu.
Mapema mwa...
Read More