Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu kuanza kwa operesheni maalum ya siku kumi kusaka wahamiaji haramu katika eneo la Loliondo, Ngorongoro mkoani Arusha.
Na Mwandishi Maalum, Loliondo,
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala ametangaza kuanza kwa operesheni maalum ya siku kumi kusaka wahamiaji haramu katika eneo la Loliondo, Ngorongoro mkoani Arusha.
Kamishna Jenerali Makakala amebainisha hayo leo Loliondo, na kusema kuwa zoezi hilo lit...
Read More