Na Shamimu Nyaki - WUSM
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi amefunga Tamasha la 13 la Muziki wa Cigogo kwa kutoa ofa kwa vikundi vitatu vilivyoshiriki Tamasha hilo kupata nafasi katika matamasha makubwa yajayo.
Dkt. Abbasi ametoa ofa hiyo Julai 24, 2022 katika Viwanja vya Chamwino Arts Center ambapo amesema Agosti 21, 2022 kutakuwa na Tamasha kubwa la kuhamasisha wananchi kushiriki Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, maarufu #SensaBika, ambapo amesema kikundi kimoja kitashiriki kwa gharama za wizara n...
Read More