Makamu wa Rais, Dkt. Mpango Arejea Dodoma Akitokea Ziarani Katavi
Jul 24, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango leo tarehe 24 Julai, 2022 akisalimiana na baadhi ya viongozi wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Athony Mtaka akitokea Mpanda mkoani Katavi baada ya kuhitimisha ziara yake yakikazi.