Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa jengo la utawala la Halmashauri ya Manispaa ya Tabora, Septemba 8, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mhandisi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora, Asteria Shija baada ya kukagua ujenzi wa jengo la utawala la Manispaa hiyo ambalo ujenzi wake unasimamiwa vizuri na Mhandisi huyo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mhandisi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora, Asteria Shija ambaye alitoa maelezo kuhusu ujenzi wa jengo la utawala la Halmashauri y...
Read More