Na WMJJWM, Dodoma
Akizindua mwongozo huo kwa niaba ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum, Mhe. Kapteni Mstaafu George Mkuchika amesema, Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa amezitaka Wizara zinazohusika na utekelezaji wa Mwongozo wa Mpango Kabambe wa Afua za Ustawi wa Jamii kuhakikisha zinasimamia urasimishwaji na utekelezaji wa mwongozo huo katika jamii.
Hayo yamebainika wakati wa uzinduzi wa Mwongozo huo uliofanyika leo Septemba 23, 2022 jijini Dodoma ambapo Mhe. Mkuchika ameeleza kuwa utekelezaji wa Afua z...
Read More