Kaimu Mkurugenzi wa Mahusiano ya Kimataifa na Baraza la Wahitimu, Dkt. Lucy massoi (Kushoto), akizungumza katika kikao cha ukaribisho. Kulia ni Prof. Youjin B. Chung, kutoka Chuo Kikuu Cha California- Berkeley.
Viongozi wa Menejimenti wakimsikiliza, Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha, katika kikao kilichofanyika Chuo Kikuu Mzumbe, Kampasi Kuu Morogoro.
Chuo Kikuu Cha California - Berkeley, Marekani, kimeanzisha mahusiano na ushirikiano na Chuo Kikuu Mzumbe ili kuimarisha na kukuza taaluma katika maeneo bobevu h...
Read More