Majaliwa Azungumza na Rais wa Kampuni ya LG ya Korea
Nov 03, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Kampuni ya LG ya Korea, Bw. Joo Wan Cho kabla ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 3, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Kampuni ya LG ya Korea, Bw. Joo Wan Cho, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 3, 2022.