Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Taifa lashika kasi
Jan 08, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_50012" align="aligncenter" width="750"] Wananchi wa Jijini la Dar es Salaam, wakiwa wamepanga mstari katika Viwanja vya Mnazi Mmoja wakiendelea na zoezi la usajili wa Vitambulisho vya Taifa linaloendelea Nchi nzima, kufuatia agizo la Rais Dkt. Magufuli kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kuongeza siku 20 hadi kufikia mpaka January 20 mwaka huu kuwapatia nafasi wananchi waweze kupata namba ya Utambulisho wa Taifa na kuepusha kufungiwa laini zao za Simu.[/caption] [caption id="attachment_50014" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Vifaa kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa vinavyotumika kuwahudumia wananchi waliojitokeza eneo la Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam kwenye zoezi la usajili wa Vitambulisho vya Taifa linaloendelea Nchi nzima, kufuatia agizo la Rais Dkt. Magufuli kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kuongeza siku 20 hadi kufikia mpaka January 20 mwaka huu kuwapatia nafasi wananchi waweze kupata namba ya Utambulisho wa Taifa na kuepusha kufungiwa laini zao za Simu.[/caption] [caption id="attachment_50016" align="aligncenter" width="750"] Baadhi Wafanyakazi kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa wakiwahudumia wananchi waliojitokeza eneo la Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam kwenye zoezi la usajili wa Vitambulisho vya Taifa linaloendelea Nchi nzima, kufuatia agizo la Rais Dkt. Magufuli kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kuongeza siku 20 hadi kufikia mpaka January 20 mwaka huu kuwapatia nafasi wananchi waweze kupata namba ya Utambulisho wa Taifa na kuepusha kufungiwa laini zao za Simu.[/caption] [caption id="attachment_50017" align="aligncenter" width="750"] Afisa kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa akimuhudumia mwananchi aliyejitokeza eneo la Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam kwenye zoezi la usajili wa Vitambulisho vya Taifa linaloendelea Nchi nzima, kufuatia agizo la Rais Dkt. Magufuli kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kuongeza siku 20 hadi kufikia mpaka January 20 mwaka huu kuwapatia nafasi wananchi waweze kupata namba ya Utambulisho wa Taifa na kuepusha kufungiwa laini zao za Simu.[/caption] [caption id="attachment_50018" align="aligncenter" width="750"] Wananchi wakipata huduma ya Usajili wa kupata kitambulisho cha Taifa katika Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam zoezi ambalo linaendelea Nchi nzima, kufuatia agizo la Rais Dkt. Magufuli kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kuongeza siku 20 hadi kufikia mpaka January 20 mwaka huu kuwapatia nafasi wananchi waweze kupata namba ya Utambulisho wa Taifa na kuepusha kufungiwa laini zao za Simu.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi