Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

ZiaraYa Majaliwa Wilayani Ruangwa
Nov 19, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_38415" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Walimu na baadhi ya wanafunzi wa Shule za Msingi za wilaya ya Ruangwa kwenye ukumbi wa Narung'ombe, Novemba 18, 2018. Kulia ni Mkewe Mary, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi na wapili kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hashim Ngandirwa.[/caption] [caption id="attachment_38412" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi khanga Muuguzi wa Kituo cha Afya cha Mkowe wilayani Ruangwa, Grace Nanguka ikiwa ni zawadi ya watumishi wote wa Kituo hicho wakati alipokagua ujenzi na ukarabati wa Kituo hicho, Novemba 18, 2018[/caption]

[caption id="attachment_38411" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Bibi Niachia Kalembo kutoka kijiji cha Mtimbo wilayani Nachingwea ambaye ni mmoja wa wazazi waliojifungua katika Kituo cha Afya cha Mkowe wilayani Ruangwa wakati alipotembelea kituo hicho, Novemba 18, 2018[/caption] [caption id="attachment_38408" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mtambo wa utakatishaji vifaa vya upasuaji katika Kituo cha Afya cha Mkowe wilayani Ruangwa, Novemba 18, 2011.[/caption]  

Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa akikagua ujenzi wa Gereza la Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi Novemba 18, 2018

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Nyumba za makazi ya askari Magereza wakati alipokagua ujenzi wa Gereza la Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi Novemba 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi